Deuteronomy 16:2

2 aMtatoa dhabihu ya Pasaka ya mnyama kwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu kutoka kundi lenu la mbuzi na kondoo au la ng’ombe, mahali pale ambapo Bwana atapachagua kama makao kwa ajili ya Jina lake.
Copyright information for SwhKC